Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

20,112 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Abdulkarim  Juma
Abdulkarim Juma1 год назад

Zungumzeni ila jueni Hakuna wa kuishinda taasisi. Na tuwahakikishie hii safari lazima tufike bila kumtegemea mtu Au kikundi cha watu. @ChademaTZ2 ni mpango wa mungu

Фото профиля Sir Major
Sir Major1 год назад

@DevotaMinja Sio jambo la kushangaza kwa genge la wajinga kuunadi ujinga! Wakati mnajiunga CHADEMA akili za kukibeza na kukichafua mlikuwa mmeziacha wapi?! Kinachofanywa na Genge la Njaa55 ni sawa na kutumia kopo la kujitawazia chooni na kuligeuza kuwa sahani ya kulia chakula!

Фото профиля Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱
Chaz Murimi 🇹🇿🇰🇪🇺🇸🇺🇦🇮🇱1 год назад

Ukweli upi malaya wa kisiasa. Ukiachika achika na tumikia bwana mpya achana na majungu kwa X wako

Фото профиля prof Muya
prof Muya1 год назад

Wewe maharufu ya hayo mawanja unayopakaga kwenye nyusi yanakulewesha akili. Punguza.

Фото профиля 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚1 год назад

Documents za kikao cha kamati kuu hazipo? Kama zipo kwa nini zisitumike kukanusha haya? I believe kama haya yalikuwa maazimio ya kamati kuu kuna document ambayo ipo signed ya wajumbe wote wa kamati kuu waliohudhuria kikao kile.

Фото профиля Denis Ndunguru
Denis Ndunguru1 год назад

Ivi amuoni mnajiaibisha MFANO WA KUFA KISIASA NI KWA COVID19 AMJAJIFUNZA TU? HUO NDIO MWISHO WA KISIASA KWENU

Фото профиля elyneema yuda🇹🇿🇹🇿
elyneema yuda🇹🇿🇹🇿1 год назад

Mfano wewe unadhani ukigombea kupitia taasisi gani unaweza kushinda

Фото профиля Ayie Tag
Ayie Tag1 год назад

Uongo wako na tamaa yako itakugarimu siku zenu zinahesabika. Uliwasema sana C19 kumbe ww ni zaidi yao. Unahongwa kuiua CDM jiulize utaweza? Kula pesa za Watz ila pesa za CCM zina laana hautakuwa sawa kwasbabu ni pesa zenye damu, mateso ya WATZ. Mungu wetu ni mwema kawaumbua Live

Фото профиля Oscarmsukwa
Oscarmsukwa1 год назад

Hakuna ukweli wowote hapo!

Фото профиля Lai
Lai1 год назад

Si muondoke na mtulie? Kwani mnahisi umuhimu wenu umeisha? Kila siku chadema kwani ni chama chenu? Ninyi si mmeshaondoka?

Похожие видео