正在加载视频...
视频加载失败
Umegundua nini!??
13 条评论

MATAPELI huwa wana lugha yao ya ushawishii kwa kuchanganyaa kiingereza na Kiswahili lazima wakuchanganyee na misamiati misamiati ili kukuchanganyaa

Internet itakuumbua husipende kujimaliza 😂😂 kwahyo Shasha man alkuwa kwenye phase ipi lag phase , log phase or dormant phase ??

Kwa Mantiki hyo anaweza akajibu kwann alikuacha Aucho? Aucho alikuwa sehemu ipi katu ya hizo 3? Na vp Kangwanda na Zakuani wapo eneo lipi kati ya hizo

Nimegundua kua mganga hajigangi😃😃😃

Perez wabei ya jioni 😁🤣

😅😅😅😅 kumbe shasha man alkua peak 😎

@bonusbettz Tulikosea kumuachw Aucho

Ni Huzuni

Teknolojiaa😁😁

Uyu Tapel mno yeye Mbinu zake zipo kwenye bahasha tu

Azizi ki yupo kipindi kipi kati ya hivo

Hapo kakalishwa usiku kucha ili akija kuongea tumuone kama perez

Mi simuamini uyu jamaa, alienda kumchukua Birgirmana wa Newcastle yule😃, Konas Mkude wa Simba, na juzi kabeba Shalulile..!. atuache bn🤣
相关视频
Sensitive content
umegundua nini 🫧🍑🍆
Pisikali bongo
85,255 次观看 • 2 个月前
Hii video umegundua nini kwa haraka?? Kuna jamaa kama BISCUIT imeingia MAJI..
Adamoo
96,166 次观看 • 1 年前
