Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

58,990 views • 4 days ago •via X (Twitter)

0 Comments

No comments available

Comments from the original post will appear here

Related Videos

All I know is dharau za serikali ya CCM, dharau za hiko kimama kwa watanzania kuna siku zitakwisha na hiyo siku inakuja. Trust me… . . Naamini soon Watanzania wataogopewa na kuheshimiwa na serikali yao. Naamini soon Watanzania wataipata katiba mpya, naamini soon hali ya maisha ya watanzania yataanza kubadilika na keki ya Tanzania itagaiwa pasu kwa pasu kwa Watanzania wote na sio keki ya taifa kuliwa na Samia na familia yake huku watanzania wanateseka na matozo yao na makodi yao ili wao waendelee kuishi naamini hivyo sababu najua Watanzania taratibu wataamka kama Wamasai walivyofanya leo. . . No one is calling for violence, what we are calling for is this, country wide peaceful protests. . Watanzania ngoja niwaambie kitu, msipofanya walichofanya Wamasai leo basi watoto wenu na wajukuu zenu pia watakuja kuishi kwenye umaskini mnaoishi nyinyi leo. Wajukuu zenu watakuta hali hii hiii. Ni lazma nyinyi mpambane leo ili watoto wenu waje kukuta Tanzania mpya. . Watanzania kama mnataka nchi ibadilike, kama mnataka viongozi waanze kuwasikiliza na kuwaogopa, kama mnataka ajira ziwepo, kama mnataka tozo za kingese zitolewe, kama mnataka mfanye biashara kwa amani bila TRA kuua biashara, , kama mnataka huduma za afya, kama mnataka rushwa iondoke, kwa kifupi kama mnataka maisha bora ni lazma nchi nzima, vijijini mpaka mjini muingie barabarani peacefully kudai haki zenu. . Nawahakikishia mkiandamana kwa siku 3 tu huyo Samia atasimama atasema ‘shikamooo watanzania, niambieni mnataka nini nifanye’. Hamtomsikia tena anasema ‘Natukanwa ila nimejiugeuza chura kiziwi’ kiburi chote cha ki Zanzibar’ı kitamuisha siku hiyo hiyo. Bila kwenda kumgongea mlango Samia pale Ikulu ataendelea kutumia kodi zenu kusafirisha wasaniii wanaomlamba makalio na kuwapa mikopo ya 40M kila mmoja huku nyinyi hata laki kwenye account zenu hakuna, ataendelea kuuza vitega uchumi vya nchi. Ataendelea kula keki ya taifa na watu wake wachache waliomzunguka, ataendelea kusaifiri kila kukicha. . Watanzania acheni kusubiri Millard ayo amposti huyo mama then ndo mkachambe kwenye comments, hiyo haisaidiii kitu, huyo mama lazma mkaongee nae face to face, baada ya hapo mtaheshimiana vizuri tu…….

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

174,745 views • 1 year ago