#noreformsnoelection

Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. "#NoReformsNoElection"
Chadema Tanzania234,251 Aufrufe • vor 1 Jahr

#Rais #Rais #Rais! An enthusiastic reception for Tundu Antiphas Lissu today at the High Court of Tanzania 🇹🇿. The trial is exposed for what it is, a farce, a show trial, a political staging! People will no longer be fooled by the Samia Suluhu regime. #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
Christian Kattner 🖤 🇩🇪🇺🇦🇪🇺 🇹🇿65,642 Aufrufe • vor 1 Jahr

Kanyaga maliza kabisa hawa “wajinga wajinga” aka #Njaa55 Wanataka wapiga kura na watu waumizwe hata kuuwawa - kisa ruzuku!? Thubutu! You are bringing back common sense to politics Tundu Antiphas Lissu and we appreciate you - tena sana 👊🏽🔥 #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai81,464 Aufrufe • vor 1 Jahr

Tukisema #NoReformsNoElection tunamaanisha haya. Hakuna Nchi yoyote duniani ambayo kosa halina adhabu ni Tanzania tu… Nchi nyingine zenye kuheshimu watu, kufanya kosa la uchaguzi adhabu yake ni sawa na uhaini kwasababu unakua unajaribu kupindua nguvu ya wananchi ambao ndio msingi wa mamlaka na madaraka ya Nchi. Hapa chama au mgombea akikosea anadhibiwa msimamizi akifanya jambo lolote hata kwa makusudi Hakuna adhabu.. Maana yake sheria inahamasisha kufanya makosa.. utamfanya nini!! Shame
John Heche73,519 Aufrufe • vor 1 Jahr



