Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Aisee nimecheka 😂😂😂
119,171 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Idris2 лет назад
Ndo nilikuwa naelekea kuoa nipo kwenye jam naona hii video. Dahhh sijui kama watakubali niende kula tu niondoke😰

Lubasha Jr2 лет назад
😂😂😂

Said Adam2 лет назад
Kwenye kucheza mchezo hapo😃

Lubasha Jr2 лет назад
😂😂

V E N N A📸2 лет назад
Jamaa mnafiki sana😅

Lubasha Jr2 лет назад
Mnoo

ATR Mtiling’ati2 лет назад
Mchezo wa ten kila siku halafu anapokea mwenzio

Lubasha Jr2 лет назад
Hii imeni hit 🤣

Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад
Jamaa kasema ukweli Usioe kama Huna kitu, utaomba dunia ipasuke uingie 😄

Chris2 лет назад
Kodi ikiisha hamna kupeleka vitu kwa msela 😂😂😂
