Asante sana Mchungaji.
@godbless_lema1,3 Mio. Follower
30.459 Aufrufe
33 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@FTamimi30779
Na mimi muislamu ila nimemkubali mchungaji kanyooka anaongea point maua yake🌷
29 Likes

@MethewVale82615
Mchungaji kazungumza ya ukweli kabisa. Yaani hadi kuna muda mtu unawaza hadi unajikuta unakasirika, kizazi gani hiki ambacho kila jambo wanakubaliana nalo, yaani tumekuwa watu wa ajabu sana tunashindwa hata kuchambua kati ya ngano na makapi.
27 Likes

@Kasyeleko
Watawala hawapendi kuona jamii inaamka kutoka usingizini. Hivyo sitoshangaa wanasheria wa serikali kuanza vikao vya kuitafuta hatia kupitia maneno ya mtumishi huyu aliyeamua kuisema kweli na kuifundisha kweli ya maagizo ya Mungu. Mungu aendelee kuinua wengi wa namna hii. Amen
13 Likes

@2021ClemMax
Tukipata atleast 20 pastors of this caliber, taifa litapona!
11 Likes

@KLunyembeleka
Yan kila kitu ndiooo.juz tunaambiwa tunaletewa maendeleo,sasa nan aliyaficha?? 😭😭, nchi yetu soote ila hatupendan,tunauana sisi kwa sisi. Dah MUNGU atusikie siku moja
10 Likes

@Jose28465Sulle
May God bless him because he preach the truth
5 Likes

@idetemyaa
Kwa kweli hapa sijapoteza mbs zangu nimezifaidi kabisaa,
5 Likes

@pendael_mo29818
Watu wako jobless sana Mchungaji. Kuna mtu ukimpa nyama ya siku moja tu inatosha kumhadaa kabisa.
4 Likes

@j2jeremiah45
Umenena vyema pst’mwenye sikio na asikie maana umesema kweli kama neno linavotaka watu waujue ukweli
3 Likes

@shebbykadumee
Kwishaaaaaaaa 9
3 Likes

@Gze1279633
Taifa lina vijana wengi wa hovyo Ila wachache wanaojielewa wanazibwa midomo kwakutekwa,kutishiwa…Aisee huko tunakoelekea kunatisha na kuhuzunisha kulko tulpotoka!! Na dalili zinaonyesha 29Oct hakuna maandamano Ila wengi wao hawatoenda kupiga kura Mungu wa mbinguni komboa Tz yako
3 Likes

@TomondoT
Dah kuntu Kuna sehemu vijana wanafeli sana pakubwa upo uwezekano wa kuikemea njaa Yako ya dakika kadhaa ukajitwalia ushujaa
3 Likes

@YohanaKaini
Amuombr Mungu awamwagie roho ya ujasiri na kujitambua
3 Likes

@hussen_mbaga
Uyu ndie
2 Likes

@massawe99815
Yaani inasikitisha sana 😢
2 Likes

@De_magic_Artist
mchungajii yk kwny point sn,,ss kuna lile li shekhe letu sulee linabongaga mvuke toka lipate kitambii,,nlijua mtu mwny kitambii anaakili sn kumbe kuna wngn ni ini likifel unakuwa na kitambi
2 Likes

@Tutangane
ooh my gary🤭🤭🤭
2 Likes

@nadamixtape
mchungaji si mdaii
1 Like

@nzokka
Hakuna kulia baadae
1 Like

@FrancisZakayo4
Mungu atuondolee hii laana kwakweli ameongea kweli kabisa
1 Like













