Daah ๐ Haina Kufeli
@SportsarenatzTz438K followers
55,806 views
19 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@lutherjr___
@skymocatz Akitoka hapo kasahau kila kitu๐
8 likes

@nabricsllalana
Hana shida ya physicality, shida ipo kwenye technic. Inatia mashaka major signing ya timu inaenda kujifunza basics za mpira kwa physical trainer.
6 likes

@chapo255
Fala eti anaiomba ikichelewa๐
6 likes

@TherealBihemo
Tunaombaa mechi na yanga ya kirafiki jumamoss
6 likes

@Danquadruple
tunachukua mchezaji kutoka nje ili aje kujifunzia mpira huku?
2 likes

@Citzn_of_heaven
Huy Leo anafunga
2 likes

@AloyceNgaya
Doumbia waonyeshe
2 likes

@HebronKamm91387
Huyu atafunga tu
2 likes

@HastaRuego
Oyaaa ๐๐
1 like

@therealrigoh
Kwamba Huko walikomtoa hakuwa anacheza ah shida nini? Ila Kuna vitu vinqfikirisha sana ๐๐๐
1 like

@mTusiOriginal
๐๐๐
1 like

@Romanjmollel
Tumeamua Hadi afungee ๐คฃ๐คฃ
1 like

@KariakooTama
The surface isn't friendly

@Abasinho137
Akitoka hapo aende na kwa mzee wa gereji akachukue kozi kidogo

@malibamba14
hamtaamini macho yenu

@mkuuwachu0
๐

@saadyel4
Stweka gazabu ๐

@PaulAndrew40629
Hamna kitu

@bonusbettz
@lutherjr___ Ataanza kufunga kesho
