Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Dakika 5 za HECHE 🔥🔥🔥
79,018 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Haya mambo anasema Heche yanatia hasira sana, @ccm_tanzania mnalikosea sana Taifa hili

Umaskiini wa Tanzania unatengenezwa na wasimamizi wa raslimali kwa sababu ya tamaa

Tanzania umasikin wake unatengenezwa hii nchi ina madin aridhi nzuri maji safi .. inakuwa je masikin

Dah yani unasikiliza nondo mpaka unasema huyu kweli ni mtu smart yani point zote za msingi Boda ni nyingi sana na zinapiga kazi sana jee SERIKALI haijawahi fikiria hiki alichokisema jamaa au ndo wanakausha tuu .

Moja kati ya watu tangu siku ya kwqnza anaukataa umasikini mpka leo 🔥🔥

the drop on this is wild

Umaskini wa watanzania ni sababu ya watanzania wenyewe

Kuna jamaa wana akil sanaa

🫡

Mmh kwenye Wasira hapo nd kmalz

TATIZO NI UELEWA WA MTU MMOJA MMOJA TZ KUNA WATU WAJINGA SANAAA
