Skip navigation
Hili ni Bunge la Wapi kwani?
0:00 / 1:23

Hili ni Bunge la Wapi kwani?

Polycarp The Bibliophile

@PolycarpMDM41K followers

Visit on X
439 likesDownloadOriginal post

50,131 views

Hili ni Bunge la Wapi kwani?

29 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • ngoswe penzi kitov Cha uzembe's profile picture

    @JumanneFaraji1

    @MdemuPolycarp Ndio maana hawana visogo

    24 likes

  • Polycarp The Bibliophile's profile picture

    @PolycarpMDM

    😂😂😂

    1 like

  • Mfalme Najjash's profile picture

    @MfalmeNajjash

    @MdemuPolycarp watu wamezungukwa na bahari mukawalishe kambere tokalini

    8 likes

  • ThreeTimes♟️'s profile picture

    @JaimeQueezy

    @MdemuPolycarp Kwa namna hii ndo maana wametawaliwa na Tanganyika

    7 likes

  • Abel Happy SHUMA's profile picture

    @shumaabel

    @MdemuPolycarp La zenj hilo… liko fire hatareeee… 😊

    5 likes

  • ernest's profile picture

    @FmFaraja

    @MdemuPolycarp Hamna watu wabaguzi kama wazanzibar

    4 likes

  • The_SeNtiNaL😷's profile picture

    @ProsperVinny

    @MdemuPolycarp spika amecheka mcheko flani apo😁😁😁

    3 likes

  • Gerald's profile picture

    @Junior_Marley26

    @MdemuPolycarp Bunge linaichamba serikali😂

    2 likes

  • RAISI WA MAJOBLESS 💰💰💰DUNIANI's profile picture

    @JLogolie11479

    @MdemuPolycarp Zanzibar

    2 likes

  • ..'s profile picture

    @Mkafu01

    @MdemuPolycarp 😂😂eeh

    2 likes

  • Kilaza Wa Mwisho.'s profile picture

    @Mwendokc

    @MdemuPolycarp Kula kambale ni kama sawa kula nguruwe kwa wa Islam.

    2 likes

  • NGOMELE's profile picture

    @elishangomelle

    @MdemuPolycarp 😂😂😂hivi anamujua Sato huyu yaani unakataa sato

    1 like

  • John Giranta's profile picture

    @GirantaJoh50930

    @MdemuPolycarp Bunge la kuchamba

    1 like

  • kato_14's profile picture

    @g_ki02

    @MdemuPolycarp Mnamkosoa tu lkn kiukweli kabisa yupo sahihi,unapelekaje kambare na sato zanzibar?

    1 like

  • Scofield's profile picture

    @MoudyMoudy01

    @MdemuPolycarp Mbunge dizaini kama ashavuliwa ubingwa🚮

    1 like

  • E's profile picture

    @EMdimilaje

    @MdemuPolycarp Kambare Zenjii????

    1 like

  • Mzee Baba's profile picture

    @MfalmeJuhaTz

    @MdemuPolycarp Hawa jamaa wengi n mataahira

    1 like

  • TYMG, The almighty 🙏🏿's profile picture

    @KChichika

    @MdemuPolycarp Namfahamu vizuri Hassan 😂

    1 like

  • Mgombea Binafsi's profile picture

    @zachariageosayi

    @MdemuPolycarp Wabunge wake @Hb_cbe_2020 😀

    1 like

  • topha's profile picture

    @mustaph35471258

    @MdemuPolycarp Ila ukiangalia ni.kweli sehem ni.kisiwa kidogo eneo kubwa ni bahar unachukua bilions za pesa unawekeza kwenye samaki wa maji baridi huu niwizi mwengine proo