Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Jiji gumu SANA HILI.
42,357 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Utapeli mkubwa sana Lakn si unamwambia kama ni.simu yake ajaribu kutoa password

Anakunyima muda wa kufungua mdomo

space meets sound

Eti 🗣️ "unashikwa na watu unapigwa vibaya" aah kmmke, solution simpo TU, unampa simu mbele ya hao abiria unamwambia 'ATOE LOCK' kama kweli ni yako, akishindwa sasa ngondo ndo linaanza upyaaa!!! hapo ndo mwizi atajulikana sasa ni nani kmmke.

Unanyimwa MUDA wa kujieleza

Hii itabidi waniue, maana simu yangu ina kila aina ya ushahidi kuwa ni yangu.. nina picha zaidi ya 100 sasa mwizi atanieleza nimezipigaje picha hizo kwa dakika hizo chache..

mimi ya kwangu hachukui Mtu Jamaa yangu tutaenda kupeana kituo cha polisi kmmake. labda sio mimi

😂😂

Mbona rahis namwambia tu toa password mjomba kama yako

Tunapuuza Tuu Ila Usalama Bara la Afrika Unazidi kuzorota Sana. Unaweza Kufa au kujeruhiwa vibaya Kwa Sababu ya Kipuuzi Kabisa.

Mi nampa kisha nasema kama simu yako mi ndo nmekuibia chukua kisha twende kituoni lazima kiumane sio kirahisi hvy , hapo wanapigwa mafala 😂🫵🏿
