Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

15,972 views • 1 month ago •via X (Twitter)

31 Comments

BROTHER.KAKA's profile picture
BROTHER.KAKA1 month ago

Huyu dingi nyimbo zake uskisikilza kuna muda kama unaelewa halafu anakupoteza mazima..

WHYMYCATISSAD's profile picture
WHYMYCATISSAD1 month ago

Mjomba alikuwa mtu

BROTHER.KAKA's profile picture
BROTHER.KAKA1 month ago

Na alikuwa na vijana wake kwenye viitikio hawakosei kama waite..

Daktari Wa Manesi 💉💊's profile picture
Daktari Wa Manesi 💉💊1 month ago

Siku hizi Hatembei tena Peku toka Apate Nauli 😆

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿's profile picture
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 month ago

Kabla ya mambo kubadilika

WHYMYCATISSAD's profile picture
WHYMYCATISSAD1 month ago

Kabla ya kuitwa mezani😁😁

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿's profile picture
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 month ago

Asali

tiba asili's profile picture
tiba asili1 month ago

alipoungana nao ndo ikawa kaburi lake,manioko

WHYMYCATISSAD's profile picture
WHYMYCATISSAD1 month ago

Noma

It's Hunaiya 💋❤️'s profile picture
It's Hunaiya 💋❤️1 month ago

Mjomba huku nyumbani hali si shwari kila kukicha afadhali ya jana 😭😭

Èmmanuel's profile picture
Èmmanuel1 month ago

@issapax Mjomba huyu na wasasa wakikutana watachekekana sana

msauz's profile picture
msauz1 month ago

Nakumbuka Membe alikuwa na Hector (sio acre) zaidi ya elf 5. Ameondoka ameziacha.

DR SLUMP's profile picture
DR SLUMP1 month ago

Hapa kabla haja anza kuvaa viatu🚮

yule bœ's profile picture
yule bœ1 month ago

Alipo pata nauli akaenda😭

bin Luc's profile picture
bin Luc1 month ago

Sema saiv mnatekana san

Hella Ndulla's profile picture
Hella Ndulla1 month ago

Siku hizi karudi kwa mama yake hataki nauli tena

Hamidu's profile picture
Hamidu1 month ago

Kabla ya kupewa kitu hapo

Chief Kenge's profile picture
Chief Kenge1 month ago

Mbona mwamba kama amepotea au

Mbwa Mkali's profile picture
Mbwa Mkali1 month ago

Kipindi ana akili timamu

M.A.O's profile picture
M.A.O1 month ago

Mjomba tatizo tumbo alilitanguliza mbele

Al watan's profile picture
Al watan1 month ago

Hapo kabla hajawa mpotofu

kilimo na ufugaji kisasa's profile picture
kilimo na ufugaji kisasa1 month ago

Uyu Ameharibikia ukubwani kama bamia 😒

Daniel Mathias's profile picture
Daniel Mathias1 month ago

Kaharibikia ukubwani kama bamia.

champagne's profile picture
champagne1 month ago

ulimi umedondoka

Shaban's profile picture
Shaban1 month ago

Enzi izo tunaliona ili jamaa lina akili…. Kumbe jitu zima ovyo

Chintu Bizzy's profile picture
Chintu Bizzy1 month ago

Kabla ya meza ya maridhiano

Raj Jr....🇹🇿🇹🇿🇹🇿's profile picture
Raj Jr....🇹🇿🇹🇿🇹🇿1 month ago

Kipindi hicho mjomba anatafuta nauli

Ayao The Boss's profile picture
Ayao The Boss1 month ago

Kipindi hicho alikuwa mtu kweli kweli

jasusi2020's profile picture
jasusi20201 month ago

Huyu alipofiwa na mke wake ikabidi atoke kuomba raia msamaha

Mohamed Mwanamanz's profile picture
Mohamed Mwanamanz1 month ago

Kabra ya pesa haijamnunua

Robyn George's profile picture
Robyn George1 month ago

🔥🙌

Related Videos