正在加载视频...

视频加载失败

Msikilize Leonardo hapa sasa

18,063 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 的头像
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘1 年前

Said Said kafanya performance ya mazoea hali iliyo pekelekea kuonekana ni Mchekeshaji wa kawaida mbele ya Leonardo alie fanya vizuri Tazama Video kwenye comment uone utofauti⤵️ Video 👇

𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 的头像
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘1 年前

Leonardo kaanza na utani

𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 的头像
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘1 年前

Follow me @udsm_finest kwa updates za kila siku @udsm_finest @udsm_finest @udsm_finest Endelea ⤵️

طا لب العلم 的头像
طا لب العلم1 年前

Watu walitegemea achekeshe wanavyotaka wao, kumbe kijana akili nyingi kaangalia hadhira iliyopo na anachekesha kisomi safi sana

Estadio Deportes 的头像
Estadio Deportes1 年前

¿OTRA VEZ TÚ? 🤥 Ja'Morant terminó siendo castigado por un comportamiento completamente inapropiado. ¿Qué hizo? Entérate en la nota. 👇 #NBA #Multa #JaMoran

@Mgagi Extra 的头像
@Mgagi Extra1 年前

Huyu ndo mchekeshaji sasa

Morani Creativity 的头像
Morani Creativity1 年前

Amecheza na tune ya hadira iliyopo kuanzia composure, tone used to deliver.. anajua

Gootiffa 的头像
Gootiffa1 年前

Asingekuwa mchekeshaji angekuwa mtu mwingine mkubwa zaidi

hojoro 的头像
hojoro1 年前

well done kajitahidi sana kwenda na tukio husika

mansaowens 的头像
mansaowens1 年前

Man of The Match

相关视频