Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Tazama hapa, Masaki

97,748 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Andri𝕏
Andri𝕏1 год назад

🚨Bongo kama New York 🩸 Huu ubongo wa mtu ume mwagwa huko Masaki kisa Demu tu Hapo Kuweni makini sana wazee , Tazama CCTV camera ya tukio Follow @andrixupdates Video kwa comment 👇

Фото профиля Phinhokim
Phinhokim1 год назад

Hajapigwa risasi, mwamba kampiga na kibapa chajuu cha bastola kwenye pua.. Msi sambeze habari za uongo...

Фото профиля nleiahi
nleiahi1 год назад

ACHA kurukia mambo , hakumpiga risasi! huyo ni afisa usalama wa Serikali ya CCM na Samia, alisttahili awe keshakamatwa ila si unajua tena

Фото профиля immar🍁
immar🍁1 год назад

So club walinzi wenu wanaruhus watu kuingia na siraha??

Фото профиля Sinyorr Great
Sinyorr Great1 год назад

Aliruhusiwa vp kuingianna silah la sehem kama hizi..?

Фото профиля thomas tuniga
thomas tuniga1 год назад

Kampiga risas kisa demu yaaan sio mke wake na watu wametazama tu hakuna walichomfanya aiseee ,utu uko wap na hak iko wap

Фото профиля Sydney Samson
Sydney Samson1 год назад

Huu upumbavu wote huu ni unatokana na vyombo vya usalama Nchini,kirusi hadi vichaa kumiliki Silaha,ifike mahala Watanzania tuikumbuke amani yetu tulioachiwa na Waasisi wetu

Фото профиля Maupwirupwiru 🔞📵🚭
Maupwirupwiru 🔞📵🚭1 год назад

Najiuliza huyu mtu ashaua wangapi maana anaonekana sio mgeni kwenye kuuwa, ugomvi mdogo tu ashaua.

Фото профиля chafujo_
chafujo_1 год назад

kwa tafsiri ya sheria hapa huyu mwamba hana makosa kabisa chanzo cha tatizo n mwanamke kwahy hapa muuwaji namba moja n mwanamke tuendelee kufuatilia vifungu vya sheria tutaelewana 🤣🤣

Фото профиля Ismael Athumani
Ismael Athumani1 год назад

so sad

Похожие видео