正在加载视频...
视频加载失败
Aisee Ibada muhimu sana.🤲🏾
11 条评论

Kabigwa_Afya💊1 年前
Kwa Imani ya Kiislamu, Mazingira yoyote ni sahihi kufanyia ibada ikiwa tu muda umefika?

Binde1 年前
Kumbe germany machine ni ndugu yangu katika imani, Mwenyezi Mungu ampe muda mrefu jangwani inshaallah 🙏🏽

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 年前
Naam ni ndugu yetu huyo

SimbaScot1 年前
Usiache kufanya ibada kaka

𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™1 年前
Amini mzee wangu

Elnino De Santo1 年前
No Wonder timu imetoka mapema...Unaacha Kuswali hotel unakuja Kuswali muda wa mazoezi.

Wilhad1 年前
Mbona haijamsaidia timu yake kufuzu robo

Frank father tisa1 年前
Hakuna mjeruman mwisilamu huyo mkimbizi tu kauza mechi

MTWARA BOY1 年前
Amekosea kuaombea waarabu wafuzu akasahau timu yake

Nasisi1 年前
Huyu jamaa atakua alipewa kazi Kwa sababu ya dini hana stamala

So.Gay2 年前
New York’s gay bars haven’t been immune from inflation, so investigated where cheap drinks still reign supreme
