Asante sana Njombe.
John Heche
Auf X besuchen@HecheJohn809.754 Follower
21.402 Aufrufe
Asante sana Njombe.
6 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@NgoshaKugema
@DeoMunishi Hawa jamaa walijua wamemfunga Lissu kazi imeisha ,haya Heche huyu ,balaa tupu
4 Likes

@TanganyikaOne
Mmmh siku hz na Njombe kuna Chadema..ukombozi umekaribia
4 Likes

@elyneema
Kazi yenu ni ya kutukuka na Mungu awabariki.
3 Likes

@Mobappdevtz
KATIBA MPYA TUME HURU YA UCHAGUZI Saa 3 asubuhi hawa wakoloni weusi OUT👍👍👍👍 @ExMayorUbungo @Mwabuk2Boniface @hilda @godbless_lema @TheRealJongwe
2 Likes

@MapundaSimba
Ushahidi wako tunao ukihamasisha maandamano nchi nzima kaka, ananza kuandika lisara kwaajili ya vijao wenu na baadhi yenu.

@TNerei34894
Wapii Mbunge wa hapa nayeye aje afanye mikutano wa kuwashukuru kwa kura zao.
