Loading video...
Video Failed to Load
Lakini huu sio uungwana Wanangu. 😱
136,636 views • 1 year ago •via X (Twitter)
9 Comments

Mke wa Mtu💕1 year ago
Njaa tupu hii, ila wameshirikiana vizuri tu mbona wanarekodiana Tena😂

The mandevu1 year ago
Haikuwa poa aisee

DIGGALLER💯1 year ago
Alierekodi sio siri kazingua..mana nature ya traffic ni rushwa always hakuna ambae ajui..Basi sasa jamaa kibarua kimeota maparachichi

The mandevu1 year ago
Walifeli sana

JIGGY☄1 year ago
mzee wa watu kakaa njia haieleweki anawaomba wamemchomea😁😁😁

The mandevu1 year ago
Walizingua sana

T5 generation👊1 year ago
Aaah jaman 😥 sema nn jamaa wamezingua Sana asee 🥺🙏🏻

The mandevu1 year ago
Sana ani

The mandevu1 year ago
@LucasBarik Sure

