Leo saa 3 usiku Jambo tv...we stream live
@HecheJohn809K followers
14,634 views #NoReformsNoElectin
25 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Fredopixel_
Naweka notification kabisa🔔
3 likes

@jkbtetes107
@Jambotv_ fanyeni mpango muwepo kwenye visimbuzi sasa kuna watu wa hali za chini wanakosa vitu vya msingi sana maana tunaamini ninyi angalau kidogo mnaelewa nini maana ya habari
2 likes

@sheria_moko
Kuna watu huko wanapiga simu nyingi sana tisira wafungie youtube 😆
2 likes

@detrizzy_dee
Anamaliza slow slow tunaama Kambi..bando nikishanta Mkuu..
1 like

@UlomboMusa
Hakuna kulala No reforms no election
1 like

@almasially4352
Bola usingetangaza...ungesaplyz tuu........Polis watavamia apo mzee
1 like

@Derick_dkaz
Good 👍
1 like

@CassianFussi
usije ukabadili gia angani chief chonde chonde endelea kukaba mpk penalty
1 like

@kimwemwe1604
Safi mungu hupenda haki
1 like

@Charles__255
Hatua ya 2 na hatua ya 3 ziletwi mapema tuanze kazi
1 like

@mwlkeberenge
N✌️✌️

@MjkuuwaNyerere
Naweka alarm kabsa hii

@ManKidu54018
Hatua Kwa hatua #NoReformsNoElection

@NadiaAivod
Tutakuwa kila kona, kila kituo, kila sanduku. Safari hii tunahakikisha: Kura ni Kura 🙌

@ravi1nder
Tupo

@MaigeMashaka
NO REFORMS NO ELECTION

@MMtazamaji
Unajua hizi skills za kutweet kila dakikambili ungefanya bishara ya mtandao saahizi ungekua level za Dr. Chenza

@MissFetty_
Kura zetu ni sauti zetu na hatutaki mtu azihamishe kwa ujanja. Tuko macho hadi mwisho!

@tallokinng
ACT Wazalendo wanatupa sababu ya kuamini tena kuwa demokrasia ina maana na kura ni silaha halali ya mabadiliko

@Joblube4135261
Safi sana #NoReformsNoElection





