One love from Ukonga.
@HecheJohn802K followers
39,063 views #NoReformsNoElectin
11 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MeelaSamwel
Wananchi wengi wanaimani kubwa sana na CHADEMA huu ni ukweli usiofichika tizama kwa makini hii video utaona vyuso za watu wenye hisia kali za ukombozi Mwenyezi Mungu awabariki na kuwalinda sana viongozi wote wa CHADEMA
7 likes

@Mwanaharakati__
Tunamshukuru MUNGU kwa ajili yenu Viongozi wetu wazuri, mmekuwa waaminifu, wenye mapenzi mema na Taifa letu hili, endeleeni kupambana na sisi tutawaunga mkono Kwa #ToneTone pamoja na kutekeleza maagizo yenu!! #NoRefomsNoelection #FreeTunduLissu
6 likes

@BrianOngiri2
DAAAH MPAKA NIMETOKWA NA MACHOZI AISEE,,NA HUO NDIO UPENDO HALISI TUMEZOEA KUONA WANASIASA NDIO WANAGAWA NA KUHONGA WATU KUHUDHURIA MIKUTANO YAO.. LAKINI HAPA NAONA WANANCHI NDIO WANACHANGIA WANA HARAKATI... MWENYE ILE NAMBA YA CHADEMA HQ NAOMBA ANIPE NA MM NIWEKE CHANGU.
6 likes

@chiitanmomiji
I'm Chiitan Japanese crazy mascot☺️Chiitan loves death metal💀💕
20,169 likes

@OlalWireman
Hii ni kubwa sana! Sasa naelewa kwa nini yule msimbe wa kizimkazi anapata taabu.
5 likes

@mtumbagrade1
Ukiona maskini wanatoa ujue wamechoka
4 likes

@Valencyminde1
Ukombozi unakaribia Mungu yupo pamoja nasi
4 likes

@mwita_phil11254
Hizo pesa nashauri muwe mnazihesabu nishingapi halafu mnazituma kwenye namba ya tone tone
4 likes

@jasper_joram
Huu usenge kuna watu wakiona wanaumia sana utadhani kama ela wanatoa wao kitendo cha wananchi kutoa ela ni agano kati yao na chama chao hapa ndo unawajenga wananchi kukipigania chama chao neno USENGE machawa walijua naponda hizi harakati za ukombozi,Heche heshima kwako tupo P1
4 likes

@Baba_G27
@HecheJohn Daaah aisee hii itoshe kusema Chadema ndio Tumaini la Watanzania kwasasa Chadema IPO mioyoni mwetu Endelea kushusha nondo. Saa imewadia hata Viziwi watasikia Maisha ni Siasa Na siasa ndio Maisha yetu ya Kila siku. #NoreformsNoelectn
3 likes

@shabo_629275
@GobiernoMX tengeneza mifuko mithiri ya mifuko ya rambo ipigwe chapa ya tone tone, NORENOE kwa ajiri ya kukusanyia sadaka, sio kwenye kofia, pia muwe na wadada special hata watano wa kuzunguka kwa watu kukusanya sadaka wakati wa mikutano.
3 likes
