正在加载视频...

视频加载失败

50,023 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Andri𝕏 的头像
Andri𝕏1 年前

Shoga yake marehemu Akiwa nyumbani kwa Mama yake Dida Huyu Dada ana lalamika kuwa wamesubiri mda mrefu sana mwili kufika hapo nyumbani ili wa mpe heshima ya mwisho marehemu Lakini Hadi Sasa Hawaja fanikiwa kumpa heshima ya mwisho wao kama watu wa nyumbani (majirani na shoga zake kiujumla) Kwa jinsi nilivyo mwelewa Dada ana dai mwili unaagwa na watu wa juu juu tu Video kwa comment 👇

Andri𝕏 的头像
Andri𝕏1 年前

Huko Nyumbani ni balaa

KILANGASU 😎 的头像
KILANGASU 😎1 年前

Msiba wa msenge huwaga wakisenge all day

Juma 的头像
Juma1 年前

Namjua uyo demu tunakula nae Bangi kwa Alimaua

2Furious 的头像
2Furious1 年前

Huo mdomo tu unakupa picha halisi

Gramps Heskey 的头像
Gramps Heskey1 年前

Acha kuhoji WALEVI msibani

PENDULUM BOB 的头像
PENDULUM BOB1 年前

MUDA MREFU SANA NILIKUA NATAFUTA MKE WA KUOA, HUYU NINAE MUONA HAPA NAONA KABISA ATANIFAA KUWA MKE WANGU, MWENYE NAMBA YAKE NAOMBA ABAKI NAYO.

0️⃣9️⃣🚬🚶 的头像
0️⃣9️⃣🚬🚶1 年前

imagine ndo umemuweka ndan huyu sasa kubabake.. 😂

Cosmas Sulle 的头像
Cosmas Sulle1 年前

Huyu si mzaramo kweli?

Mwemex 的头像
Mwemex1 年前

Mume wa huyu dada namhurumia. Ukienda offside kidogo tu lazima ujiuzulu fasta Ili mambo ya siwe mengi.

SIGMA MALE 🗿 的头像
SIGMA MALE 🗿1 年前

Kwa kiufupi kama yuko na mume, Nyumbani kwa mume kuna kazi

相关视频