Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Swali la Farhan…

69,070 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)

Комментарии: 40

Фото профиля IbRaH
IbRaH1 месяц назад

Hilo swali hata angepewa muda wakujibu mpaka kesho kutwa bado angeruka ruka hapo na hakuna jibu angetoa la maana.

Фото профиля Galileo
Galileo1 месяц назад

Farhan nilikuwa namchukulia poa ila saiv ni kama anakuja kuja kwa PB

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 месяц назад

Anapika sana

Фото профиля Galileo
Galileo1 месяц назад

Angemuua m/kiti wa watu...😅

Фото профиля Kelvin Mradi
Kelvin Mradi1 месяц назад

Sema twende mbele turudi nyuma,,wewe ungekua mboga mboga unajibuje pale bila kutoka kwenyw mfumo wao na bila kudisapoint raia??shida wanafanya vitu vya hovyo ambavyo hata upewe mwezi kujitetea huwezi🤣

Фото профиля Tata Joe
Tata Joe1 месяц назад

Aliyenikera sana ni huyo mtangazaji aliyeweka tangazo kumuokoa huyo dada!

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 месяц назад

😆

Фото профиля 🍁(wilferweed)🚬
🍁(wilferweed)🚬1 месяц назад

Hawa ni wapiga kelele tu kwa maiki, watu wanaongea taratibu ye anapiga kelele🚮, NB: ili ajibu swali hilo lazima angesema ukweli ambao mabosi hawataki😅

Фото профиля THE SUPADUPA☻️
THE SUPADUPA☻️1 месяц назад

Au Farhan alimtongoza akamtolea nje😂😂😂 katumia silaha nzito sana

Фото профиля Tuchel.
Tuchel.1 месяц назад

Huyu mdada ni mjinga kama rol model wake wa elimu MBALI MBALI.

Фото профиля MIRIAM💜
MIRIAM💜1 месяц назад

Ni nani huyu?

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 месяц назад

Mwenyekiti wa UVCCM Dar

Фото профиля ALLY MSANGI
ALLY MSANGI1 месяц назад

@FKihamu ana kabia juu sana.

Фото профиля Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr1 месяц назад

Haha Kaka

Фото профиля Eln💊
Eln💊1 месяц назад

Huyu naye ni kiongozi🤔

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 месяц назад

Yes

Фото профиля TELAPATHIST
TELAPATHIST1 месяц назад

Ivo vikuma kupayuka payuka nakutajataja usisiemu koko ndo siasa yaan umeme mwembamba sana kichwani

Фото профиля Arturo Kidari🇹🇷
Arturo Kidari🇹🇷1 месяц назад

@enovelist1 @FKihamu Nisamehe sana kaka, niliwahi kukuchukulia Poa 🙌🏻🙌🏻

Фото профиля 𝙳𝚊𝚗𝚒 𝙲𝚘𝚘𝚙𝚎𝚛 💥
𝙳𝚊𝚗𝚒 𝙲𝚘𝚘𝚙𝚎𝚛 💥1 месяц назад

Mtu Yupo zake Field Unamuuliza Maswali Magumu kweli @FKihamu

Фото профиля Bright🌴
Bright🌴1 месяц назад

Hajajibu swali

Фото профиля Burhani M. Mustapha (Mwagalazi)
Burhani M. Mustapha (Mwagalazi)1 месяц назад

Ni uwezo, kura, namna flani, ama empowerment, kuwepo hapo?

Фото профиля ANKO66™
ANKO66™1 месяц назад

Kuku kachinjwa alafu sheikh katoa mguu apaparike kwanza

Фото профиля Vliandro
Vliandro1 месяц назад

Swali jepesi sana...ila since wamefungamana na upande wao...basi hapo swali linakua gumu sana maana ukweli unawekwa nyuma

Фото профиля Desmond
Desmond1 месяц назад

😂😂😂Hapa janja la morogoro lilikosa huruma kabisa dada wa watu ni tuna tuna tuna nyingii

Фото профиля Matary
Matary1 месяц назад

Majibu anayo sema ndio hivo yupo kwenye mfumo ngumu kujibu

Фото профиля Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻1 месяц назад

Media za siku hizi zinaita kila mtu kufanya interview

Фото профиля THE cyrene
THE cyrene1 месяц назад

Ukiwa mwongo mwongo jitahidi uwe na RAM za kutosha kichwani kukumbusha reference no...ya hyo file CCM wengi waongo na wajanja wajanja kwenye kujibu hoja ni malegend wa kupindishapindisha mada..😂😂

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 месяц назад

Wataaa question 🙌

Фото профиля PaYRoLL🫟
PaYRoLL🫟1 месяц назад

Nuru imefifia ghafla usoni baada ya swali😅

Фото профиля GABBY
GABBY1 месяц назад

Hivi ni Kujitoa ufahamu au kutokujua kabisa anachosema 😬

Фото профиля djera_bellingham🥶
djera_bellingham🥶1 месяц назад

NYUNDO sana Hilo swali sio RAHISI kujibu 😂😂

Фото профиля Icard
Icard1 месяц назад

Hata angekuwa Msigwa asingejibu hili

Фото профиля Ipyana Mwakitalu
Ipyana Mwakitalu1 месяц назад

@Eng_Mushy yani Uyu mweupe kichwani kabisa😂

Фото профиля Dr. Lloyd. MD, MSc
Dr. Lloyd. MD, MSc1 месяц назад

Diiih

Фото профиля 🥷🏿
🥷🏿1 месяц назад

@tethic_

Фото профиля ASKOFU 🏥_UNITED BINGWA EPL 2026/27
ASKOFU 🏥_UNITED BINGWA EPL 2026/271 месяц назад

Waziri Ajae😂🙌

Фото профиля @gabbi
@gabbi1 месяц назад

Anasema wao “wanatofauti na sisi kwenye kuchambua mambo” 😂😂 sasa katiba si ipo kuwajibisha watu anasemaje hata ikitengenezwa katiba kama hakuna uwajibishwaji si kitu maninaa😂🙌

Фото профиля Alfred
Alfred1 месяц назад

Nan huyu mweupe sana kichwan

Фото профиля Mr Dee
Mr Dee1 месяц назад

Ukimsikilza uyo dada unaona kabisa ana uwezo mdogo sana

Фото профиля andyfellah
andyfellah1 месяц назад

kwasasa tulipofikia vijana wengi niwaelewa izi blahblah zao hatutaki tunataka uwajibikaji mbona simple.

Похожие видео

Men mnajua swali.
0:37

Sensitive content

Men mnajua swali.

ROSALINE🦋

39,100 просмотров • 2 месяцев назад