UVCCM amkeniiiii,
@mangekimambi450 B takipçi
157.905 görüntüleme
29 Yorum
Yorumlar X (Twitter) üzerindeki orijinal gönderiden alınmıştır

@Deoxz
Aiseh bonge moja la hoja hii kama ni UVCCM jaribu kuweka chuki pembeni sikiliza alafu tafakari haki hii speach ya huyu dada ina hoja nzito saana
20 beğeni

@ngoto98
Hakuna watu wapumbavu kwenye hii nchi kama hao vijana, yani wanavaa vibuti wanajiona wanajeshi wakipewa elf 20 wanajiona ndo miungu
13 beğeni

@Ibrahimkim56922
Ndani ya ccm usipoenda na agenda za bi msumi, utatekwa kama pole pole, utachapwa mpka matako ya chanike au ujiuzulu kama makamu rais nchimbi!!! CCM SAHIVI NI YA KIFAMILIA TU🤣🤣🤣
12 beğeni

@ParachichiFm
Maana halisi ya UZALENDO ndani ya hii nchii imebadilishwa maana, na inatumika vibaya sana. Wao wanaamini UZALENDO ni kuipigania na kuilinda nembo ya chama na UHAINI ni kusimama katika ukweli. Inasikitisha sana na safari ni ndefu sana 😥🚶🏾♂️
11 beğeni

@JeenWizzy
UVCCM 99% wako pale kwa sababu ya maslahi nothing else
10 beğeni

@Prain77
Vibaka wanarushiana mpira acha wamalizane, our eyes will be wide open to see it all
3 beğeni

@Anastacy_28
@InexorablesoG Yani huu usingizi waliolazwa tutawaamsha tu
3 beğeni

@Ndambalio
😂😂😂eti mavi
3 beğeni

@i_am_uziel
Misukule (UV na mali za CCM) kwao concept ya uzalendo haipo. Wao wanachojali ni kumwabudu mchawi KARABA ili awape pumba. Hawajali miaka 65 ya uhuru hospitali hazina dawa, barabara mbovu, shule hazina madawati.. n.k, wao wakishapewa elfu20 wanakuja kutukana, wewe unayewapambania.
2 beğeni

@Sir_Mkwayu
Dah umewapa makavu live
2 beğeni

@chamuange2820
Huyu anadhan uvccm wanaweza msikiliza? Ndio kwanza anawaunganisha
2 beğeni

@Praise20052890
Ni Mbagala ciò gongolamboto
2 beğeni

@kidukulilo
Ishu ni deep
1 beğeni

@ndugumdogo
Kwa madini haya anayotoa dada wa Taifa halafu kuna wapuuzi wanamfananisha na yule dada mwenye maduka ya kukuza makalio Kigamboni na Sinza
1 beğeni

@kidanyandelike
UVCCM ni bendera Fata Upepo. Vijana wa CCM wana Usenge MWINGI. HAWAELEWI.
1 beğeni

@HalonaAssey
hao vijana ni kama mavi

@sarungi_saru
ila siku izi mange unavaa kifahari😍,usinitukane ,tupo pamoja kwenye mapambano ,it's just a compliment

@YouKnoTheDrill
UVCCM wanadhani wale wazee ni wenzao, kitu wasichojua au wanakijua ila wanapuuza ni kutumika kwao kama puppets. Wote tuna njaa ya mafanikio ila ndugu zetu hawa wanatumika kukandamiza haki bila manufaa yoyote. Bado muda wanao wa kupigania haki, kabla iwe too late. God is watching

@kauuzu
Uvccm sindio mazombi sasa

@shunu7015
🔥🔥🔥








