Пропустить навигацию
Watanzania tumefikaje hapa ?
0:00 / 2:41

Watanzania tumefikaje hapa ?

Peter Msigwa

@MsigwaPeter25 тыс. подписчиков

Открыть в X
281 отметка «Нравится»СкачатьОригинальный пост

26 528 просмотров

Watanzania tumefikaje hapa ?

31 комментарий

Комментарии из оригинального поста в X (Twitter)

  • Фото профиля Drama Boy

    @kanyinyi255

    Huyu shekhe akae akijua uongozi unaompa kichwa utapita,utakuja mwengine ndipo atakumbushwa kauli zake but it was too late!!

    10 отметок «Нравится»

  • Фото профиля Babulakulamba

    @babulakulamba

    Mzee si ulikuwa jikoni sasa unatoka unatafuna halafu unatuuliza sisi kama unacho tafuna kinachumvi.

    9 отметок «Нравится»

  • Фото профиля Ibwe Salim Thekiete

    @SalimuIbwe

    Tutaamini vipi kuwa Jeshi limevunjwa?? Je hawawezi kuendeleza Uhalifu wao kwakuwa tayari wameshapewa Platform?

    5 отметок «Нравится»

  • Фото профиля P R E M I U M .

    @MUUZASIMU_tz

    Jeshi halivunjwi kwa maneno, Mwaipopo kajichanganya, hakuna sehemu katiba inaruhusu mtu binafsi kuanzisha PROXY army , hakuna ❌.

    4 отметки «Нравится»

  • Фото профиля Mr.Eagle 🦅

    @MsinguziEthan

    Ulipoenda CCM ndo tukafika hapa umerudi upande wa CHADEMA ndo unaona tena kule , were you blind?

    4 отметки «Нравится»

  • Фото профиля MWATEXI

    @Mwatexi

    @jkbtetes107 Huyu ni suala la muda tu,Ngoja atambe wakati wa Samia lakini wakati atakapokuwa peke yake Gerezani atalia na kusaga meno,Wanaomtuma wana Kinga ya Madaraka!,Yeye anatumika kama Kondomu bila kulielewa hilo!,Ni suala la muda tu! Narudia tena,Atalia na kusaga meno,Muda ni rafiki

    3 отметки «Нравится»

  • Фото профиля Shabiki Mkuu wa GenZ+

    @HekimaZetu

    Hivi vikundi vimepatia wapi silaha kali kama hiyo ndani ya nyekundu. Na serikali haito tamko. Anyway, tulimripoti akitamba kwani hakuna kitu hatari kama internet. Kumbukumbu yake ni balaa. Halafu ongezea ufukuaji wa AI🔥🔥🔥 Picha ya 1 kutuogopesa. Ya 2, wamejihusisha

    3 отметки «Нравится»

  • Фото профиля P R E M I U M .

    @MUUZASIMU_tz

    Umevunja jeshi silaha ziko wapi? Umefanya vipi disarmament? Hao wanajeshi uliwa recruit wanaenda kufanya shughuli ipi?

    2 отметки «Нравится»

  • Фото профиля khingswahswah

    @khingswahswah

    Jamani unatuuliza sisi tena kama chai inasukari na ulikuwa mwenyewe jikoni

    2 отметки «Нравится»

  • Фото профиля Marcus Maestro

    @MarcMaestro

    @MsigwaPeter, who gave this guy to 1. Assemble these mambwa mwitu, 2. Dismantle the illegal forces? I think we are playing with fire. These people should have never been allowed this publicité

    2 отметки «Нравится»

  • Фото профиля Bin Kombo

    @BinKombo3

    @Alilucadis Democracy ni mavi kweli Lol

    2 отметки «Нравится»

  • Фото профиля mbwana Joseph

    @ValentineB65221

    Shehe kula mema ya Nchi ni wakati wako. Utalindwa kwa garama zote usitetereke

    2 отметки «Нравится»

  • Фото профиля hamid

    @hamidaour

    Tumefika kama mulivyofika nyie na vurugu zenu.

    1 отметка «Нравится»

  • Фото профиля Shedrack Richard

    @ShedrackRi54114

    Ukisikia serikali iliyofeli ndiyo hiii hapa yaani imefikia mwisho kbs kbs ndiyo maana hata wanazomewa na wananchi ikitajwa kwenye majukwaa na imefikishwa hapa na ujinga km huu na mengine😭😭😭

    1 отметка «Нравится»

  • Фото профиля 𝑩𝑩𝑴  𝕏

    @BarakaDavid20

    Sio Watanzania ni ccm ndo imetufikisha hapa

    1 отметка «Нравится»

  • Фото профиля BURUNGU 🗨️

    @2Ndulisu

    Ulikuwa studio afu unatuuliza sisi nani katengeneza hio ngoma

    1 отметка «Нравится»

  • Фото профиля Hewani Hewani

    @MageniMathias

    Hata Rwanda kabla ya genocide walikuwepo chui weusi na media zao. Kikubwa mungu TU atusaidie.

    1 отметка «Нравится»

  • Фото профиля Democracy

    @democracy_watu

    Kumbe yale masenge yaliyokuwa magereza arusha kwa tuhuma za ugaidi inawezekana ni tuhuma za kweli

    1 отметка «Нравится»

  • Фото профиля mshua

    @godwin_mkumbo

    Huyu ni rafiki wa karibu na nduli idd Amin

  • Фото профиля Toure

    @Celinepzaka

    Kama sio usenge ni nini?