Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Muonesheni Yericko hii
72,080 Aufrufe • vor 18 Tagen •via X (Twitter)
30 Kommentare

Mungu hakumsaidia hatimaye amebaki na chuki binafsi mpk Léo hajaenda kumuona LISU GEREZANI

Ana shida sana mzee

Aliyoyatamani yatokee kwa LISSU yamegeukia kwake Na Yericko Nyegere😂😂😂😂😂

Kazi sana

Mzee mnafiki san huyuuuu,hawezi kuona aibu matapishi yake mwenyewe kuyala tena.

Balaaaa

@MuggyMaggy Hivi Mbowe akichaguliwa kuwa Makamu wa Rais na akagoma kujitoa CDM na akaanza kuhudhuria vikao vya kamati kuu itakuwaje? Anawasikiliza then anarudisha kwa Rais. Hapo CDM si ndio itakuwa imekufa kweli?

@MuggyMaggy Kamati ya maadili lazima imuiteee na kumuhojiii

Hawezi kuja hapa 😂😂

Hahahahah

Yeriko is a stagnant water msimuhusishe na vitu vinavyo hitaji akili kubwa

Nisamehe kaka

Mbowe huyu akikutana na yule aliyeenda kwenye bwawa la Nyerere ni mkono hadi kunakucha...

Balaa

Kabla hajalogwa

Akiiangalia hii anaishia kulia na kuzidisha chuki zake

Alikuwa na uhakika wa kushinda akaongea kwa confidence akijua dongo hilo ni kwa Lissu, alisahau kumeza maneno yake mwenyewe. Ni vema kuzungumza ya moyoni kuliko kuzingumza ya mdomoni.

Mzee hakujua kama Watu walishamchoka walikuwa wanamvumilia tu,

*SINA CHUKI BINAFSI* 🧐🧐🤸🤸

😆😆

Mbowe anzisha chama Chalo baba tuko nyima yako

Nyima ndio wapii ?

TAPELI

@UlimwenguN74598 Leo hii kageuga Chadema baada ya kukosa kura

😆

Hivi hii haina a few moment later?!!

Zamani

Dalali mzoefu

Vibayaaa

Chuki bado upo nayo Mzee @freemanmbowetz @JamesMbowe4
