11 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Mzee ahoji maana ya Mungu kwa wakristo. Sikiliza anachokisema... Video kwa Comments ๐
664 likes

@ewardrayms
Ikumbukwe wazi kwamba. Sisi Wakristo Tunaamini Katika UTATU MTAKATIFU. IKIWA MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU. ikumbukwe pia KATIKA KITABU cha Uumbaji.. MUNGU alisema na tumfanye mtu kwa mfano wetu sisi. Ikiwa Inamaana MUNGU HAKUWA PEKE YAKE๐ค
6 likes

@Steward09277445
Asicho jua ni kwamba Kipindi cha Musa Mungu ajifunua kama Moto akazungumuza na Musa Mungu alijifunua kama Radi inamaana Mungu hawezi kujifunua kama binadamu? YESU alizaliwa kwa Neno na kwa Roho Wengine tumezaliwa kwa Mbegu ya mwanadamu Hatuja wai kufa na kufufuka
3 likes

@SolarHeavy
does this represent Miami?
7,772 likes

@AlexanderMsoffe
Mbona anajiuniza kutafuta filosofia kubwa sana,๐คฃ๐คฃ kwani kati ya YAI na kuku kilianza nini?
2 likes

@PompiDouh
Hamna akili wewe na huyo mzee
1 like

@weremamarw92675
Shida ni kwamba hata hii picha siyo ya yesu wala mungu, ni ya jamaa mmoja mmalekani anaitwa BRIAN NICODEMA ila waafrica wanajua huyu ndo yesu
1 like

@issapax
Alafu mungu akasema mungu wangu wasamehe hawajui walitendalo๐
1 like

@mshanga_j
Fumbo la Imani
1 like

@ignas_andr31039
uyu anashida ya akili kiufup nikumwacha aendelee na maisha yake
1 like

@BeWiseProfesa
Hana akili huyu jamaa, ๐ Anarukia mambo asiyoyajua. Aende akasome Mpango wa ukombozi, Eti anachoka akili utafikili Hata akili anazo ktk maarifa ya kumjua Mungu. Soma upate maarufa๐
1 like