正在加载视频...

视频加载失败

11,489 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Mzee ahoji maana ya Mungu kwa wakristo. Sikiliza anachokisema... Video kwa Comments 👇

ewardrayms 的头像
ewardrayms1 年前

Ikumbukwe wazi kwamba. Sisi Wakristo Tunaamini Katika UTATU MTAKATIFU. IKIWA MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU. ikumbukwe pia KATIKA KITABU cha Uumbaji.. MUNGU alisema na tumfanye mtu kwa mfano wetu sisi. Ikiwa Inamaana MUNGU HAKUWA PEKE YAKE🤔

Steward 的头像
Steward1 年前

Asicho jua ni kwamba Kipindi cha Musa Mungu ajifunua kama Moto akazungumuza na Musa Mungu alijifunua kama Radi inamaana Mungu hawezi kujifunua kama binadamu? YESU alizaliwa kwa Neno na kwa Roho Wengine tumezaliwa kwa Mbegu ya mwanadamu Hatuja wai kufa na kufufuka

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

does this represent Miami?

Alexander A Msoffe 的头像
Alexander A Msoffe1 年前

Mbona anajiuniza kutafuta filosofia kubwa sana,🤣🤣 kwani kati ya YAI na kuku kilianza nini?

JESUS COUSIN📌 的头像
JESUS COUSIN📌1 年前

Hamna akili wewe na huyo mzee

@weremarwa 的头像
@weremarwa1 年前

Shida ni kwamba hata hii picha siyo ya yesu wala mungu, ni ya jamaa mmoja mmalekani anaitwa BRIAN NICODEMA ila waafrica wanajua huyu ndo yesu

Pax 的头像
Pax1 年前

Alafu mungu akasema mungu wangu wasamehe hawajui walitendalo😀

Mshanga P J 的头像
Mshanga P J1 年前

Fumbo la Imani

Ignas andrea 的头像
Ignas andrea1 年前

uyu anashida ya akili kiufup nikumwacha aendelee na maisha yake

Kwitega CO. 的头像
Kwitega CO.1 年前

Hana akili huyu jamaa, 😂 Anarukia mambo asiyoyajua. Aende akasome Mpango wa ukombozi, Eti anachoka akili utafikili Hata akili anazo ktk maarifa ya kumjua Mungu. Soma upate maarufa😂

相关视频