Skip navigation
Jengo ni la zamani.....
0:00 / 4:46

Jengo ni la zamani.....

Latto ๐•

@Rydx_01799K followers

Visit on X
486 likesDownloadOriginal post

57,948 views

Jengo ni la zamani.....

11 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • Latto ๐•'s profile picture

    @Rydx_017

    Bhana bhana!! Kumbe Mwenye Jengo liliporomoka Kariakoo alikuwa Anachimba Chini kuongeza Frem za chini ndani Ya jengo ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ Aloooo... Jamani wanyenyumba acheni tamaa, mnaumiza watu wengine sasa Msikilize huyu dada akielezea... Video kwa Comments๐Ÿ‘‡

    2,604 likes

  • Latto ๐•'s profile picture

    @Rydx_017

    #Wadhamini Kamata Airtel 5G Router buree leo na uenjoy internet yenye kasi zaidii bila kikomo mwezi mzima. Lipia 110k kwa mwezi mmoja kisha miezi mingine yote 70k. Bonyeza hapa kuwasiliana nasi whatsapp ๐Ÿ‘‡ Tamba Na Airtel 5G.

    18 likes

  • Latto ๐•'s profile picture

    @Rydx_017

    Mwengine huyu hapa akielezea...

    219 likes

  • Mmongori96's profile picture

    @KiswiliYah28274

    Huyo Mwandishi wa habari Kama msenge anaulizia mizigo baada aulize vitu vya umuhim

    5 likes

  • T J's profile picture

    @26_deric

    Unahoji watu alafu maiki unabaki nayo TBC kichefuchefu

    3 likes

  • MaxDrive's profile picture

    @maxdroff

    Nafikiria kuhusu kibali cha ujenzi, kama kilitolewa au laah, kama kilitolewa hao waliotoa wakamatwe, engineer akamatwe na huyo mwenye ghorofa

    3 likes

  • Zwangendaba๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ต's profile picture

    @TheNdullyz

    Huyu mwandishi kichwani hamna kitu

    2 likes

  • Ndera Shem's profile picture

    @ndera_shem

    Kesho nipo Dar nina hamu ya mkandarasi

    1 like

  • Lingz's profile picture

    @_SlimShady31

    @celestine_mat

    1 like

  • Samweli Willson's profile picture

    @kilagane

    ๐Ÿฅบ

    1 like

  • John Swai's profile picture

    @JohnSwa03265581

    Huyo mwenye jengo ataozea jera pia alietoa kibali atanyoshwa pumbavuu zao

    1 like