正在加载视频...

视频加载失败

Mpango wa Sugu wajulikana

69,506 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Thadei Mhabuka 的头像
Thadei Mhabuka1 年前

Aisee kwakweli mnahangaika kutengeneza propaganda kwakweli kifupi hili nalo limeferi sauti ya sugu naifahamu sana hata akiongeza nikiwa usingizini nitakitajia kuwa huyu ni sugu pambaneni kujenga chama chenu kilichojichokea kinatembelea upepo wa dola kushinda chenyewe hakiwezi.

Captain Fonzie 的头像
Captain Fonzie1 年前

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

KOLOZDAD 的头像
KOLOZDAD1 年前

Vile naitafuta sauti halisi ya Sugu lakini siipati🤣🤣🤣🤣

NBOYS4LIFE 的头像
NBOYS4LIFE1 年前

Kwa wenye akili kama mm huu ni mchezo bahati mbaya kwawalioutengeneza wamepata muigizaji siyo mbana pua

Ally 的头像
Ally1 年前

Mnakula pesa ya mama kizembe sana

Dickson Lyimo 的头像
Dickson Lyimo1 年前

Ila ccm nyie ni wasenge mnaonaga sisi Watz mafala eeeh

KIONGOZI MTARAJIWA 的头像
KIONGOZI MTARAJIWA1 年前

Hata kuedit sauti umewashinda. Si mngekuja tuwafundishe?

KIONGOZI MTARAJIWA 的头像
KIONGOZI MTARAJIWA1 年前

Tutamtengenezea Tulia sisi kujibu hili kama hamtawajibishwa. Ila tukubaliane kuwa sawa bila kuoneana. Na mtashangaa vipaji tulivyo navyo. Ila tusikamatane. Tuwe huru kufanya kama mnavyofanya ninyi. Si mnajua hatuna huo uwezo?

Mulastar 的头像
Mulastar1 年前

Halafu unajiita God's Daughter huna hata haya kwa kumfanyia mwenzako hivi bila kujua ana familia na wanamtegemea kisa 20K ya kusukuma reli

NYUKA 的头像
NYUKA1 年前

Hiiii sauti utuambie ni yanani @MaryJohnDorris1 unazan sisi mafala 🫵

相关视频