Baada ya Matokeo ya Nyasa!
@MsigwaPeter25K followers
61,976 views
33 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@KitbMjn
Huo ndo ukomavu mkubwa wa kisiasa. Heshima yako itabaki kuwa mmoja wa nanasiasa bora wa CHADEMA. Hadhi yako ni zaidi ya mwenyekiti wa kanda. Unafaa hata kuwa mwenyekiti wa chama taifa. Ni wakati sasa wa Mbowe kupumzika na kuwaachia wengine.
34 likes

@ombeni_t
Daah...! Nimeumia sana kwa Matokeo hayo, lakini nimefarijika na namna ulivyozungumza Muheshimiwa! Umeonesha ukomavu wa hali ya Juu sana ww ni Kiongozi haswa! Kesho ni Njema Zaidi
28 likes

@mwele_michael
Na hii ndo tofauti ya Maji na Mafuta.....congratulations #RevMsigwa. ...AKILI KUBWA.👏👏👏
21 likes

@RehemaNM2
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ @MsigwaPeter
8 likes

@AchibodM
Ulikuwa Bora Sana Kati ya wenyeviti wa Kanda za nchi yetu Kama chama tunatambua mchango wako na niiman yangu nitakuona Tena katika kamati kuu ya chama chetu Wewe ni presidential material hupaswi kuwa Nje ya mfumo wa chama Chetu Be strong champion 💪
7 likes

@wiittole5867
Hongera msigwa heshima umeilinda kwa weledi mkubwa,umethibitisha maneno yako ya mara kwa mara "demokrasia". Umesimamia unachohubiri kwa vitendo bila tashititi.Hii ni njia ya kupata cheo kikubwa zaidi ya hiki cha kanda.Mungu akutunze kwa manufaa ya chama na nchi yetu tz.
7 likes

@Matallahkhamis
Chadema kati ya Msigwa na Sugu wameamua kuchagua Sugu. Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
5 likes

@VangFiha
Hongera sana Mchungaji, wewe ni mshindi katika busara pengine na hekima zaidi.
5 likes

@afratern
Ninaamini sana katika misimamo yako imara. Sio kwamba hakuna wengine walio imara la hasha. Lakini hujashindwa, maamuzi ya kura yanaonyesha bado kanda inakuhitaji hata kama sio kiongozi wa kanda. Sasa ni muda wa kuiishi ile falsafa ya A LEADER WITH NO TITTLE. Hongera kwa ukomavu.
5 likes

@Elly_Ahmy
✌️✌️✌️mchungaji🔥🔥thank uu ..ila tunaomba sasa usiende Sisyem maana..daah🙌 Na usianze vijembe tena pia mkuu kwasababu..anyway u r the best ila kwa sasa Sugu is the best of the bests..tunakukubali sana🙏
4 likes

@MgishaMt73752
Hongera kaka
3 likes

@kadogooalfonce
@MariaSTsehai Safi kabisa maneno yabusara kbs ila mbn kama unakinyongo mwesimiwa msigwa
3 likes

@JohnMazanzaga
You're a great leader, wewe ni hazina kubwa, Mungu akutjnze kwaajili ya Taifa
3 likes

@wasengaswillah1
Wewe ni mtu sana, nilikufuatilia sana tangu uliposhinda jaribu la kununuliwa, ulikataa kununuliwa kama mbuzi, Mungu akupe afya njema na mafanikio pia katika ujenzi wa demokrasia na kupigania haki katika taifa letu.😄😄🇹🇿🇹🇿
3 likes

@leodigardcyrilo
Maneno ya ukomavu
3 likes

@MeshakiLeiyo
Hongera sana leader wangu kwa ukomavu wa kisiasa hakika umeiva na umekionyesha heshima kwa chama chako maana wale machawa wa upande wa pili wangefurahi sana wakiona mnalumbana but ndio ivo hongereni kwa wote
2 likes

@MightbeOj
Hii safii
2 likes

@FestoLupimo3
Sugu hawezi kitu elimu yake ndogo sana kuiendesha kanda ya nyasa
2 likes

@NyisaryaSalim
Ulikuwa mtu sahihi sana tubaki pale kwenye kila jambo na wakati wake wewe ni mkomavu You are the best ingawa utakuwa nnje ya hicho kiti.
2 likes

@AustinLight2020
wewe ni mshindi, Mbowe tatizo Chadema
2 likes











